Sol Campbell could complete another shock return to Arsenal as manager, according to his agent.
Beki kisiki wa zamani wa Arsenal Sol Campbell ambaye amekuwa nje ya mambo ya soka tangu alipotangaza kustaafu soka mwaka jana mwezi wa tano,sasa wakala wake amesema Campbell anatarajiwa kuwastua wengi pale atakaporejea Arsenal kama kocha wa klabu hiyo.
0 comments:
Chapisha Maoni