JOSE MOURINHO-KOCHA WA CHELSEA
WACHEZAJI WAKONGWE WALIOMPA MAFANIKIO MAKUBWA MOURINHO WAKATI AKIIFUNDISHA KLABU HIYO KWA MARA YA KWANZA DROGBA,TERRY NA LAMPARD.
XABI ALONSO.
Clabu ya CHELSEA inayo matumaini makubwa ya kumsajili kiungo wa Real Madrid Xabi Alonso baada ya kumfukuzia kwa kipindi chote cha usajili na Chelsea wamepata nguvu zaidi baada ya taarifa za ndani za Madrid kusema hawana mpango wa kumuongezea mkataba Alonso.
0 comments:
Chapisha Maoni