
OMARY KATANGA.
Mdau wa soka na mtangazaji wa habari za michezo na burudani radio one akiwa ameshikilia kombe ambalo atakabidhiwa bingwa kati simba na yanga (WABUNGE) kwenye pambano la usiku wa matumaini uwanja wa taifa jijini Dar es salaam July 07,2013.
Taarifa zaidi za mtanange huo wa wabunge watani wa jadi simba na yanga anayetarajiwa kupuliza filimbi kuchezesha mechi hiyo ni rais wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dr.Jakaya Mrisho Kikwete.
0 comments:
Chapisha Maoni