Searching...
Jumamosi, 6 Julai 2013

RAIS MPYA WA MISRI AVUNJA TAWI LA BUNGE

Rais wa Misri wa kipindi cha mpito Adly Mansour RAIS MPYA WA MISRI-ADLY MANSOUR.
 Rais wa kipindi cha mpito nchini Misri,Adly Mansour anayeungwa mkono na jeshi la nchi hiyo,amelivunja tawi la juu la bunge la nchi hiyo ambalo lilikuwa linadhibitiwa na waislamu wenye msimamo mkali,na taarifa zaidi zinasema bado ghasia zinaendelea na watu kadhaa wameuwawa baada ya mapinduzi ya jeshi yaliyotoa madarakani rais wa nchi hiyo Mohamed Morsi. Troops outside presidential guard building, 5 JulyASKARI WAKILINDA DORIA MISRI
 Jeshi la Misri

0 comments:

Chapisha Maoni

 
Back to top!