Marehemu Amos Timoth Nundwe. enzi za uhai wake. Alizaliwa
mwaka 1893 na kufariki dunia Tarehe 13, Julai 2013 akiwa na umri wa
miaka 120 ameacha watoto 7 na wajukuu 52 pamoja na Vitukuu wa kutosha. amefariki
dunia kutokana na matatizo ya uzee kwa ajili ya umri mkubwa, alikuwa
akiishi Lunji kijiji cha Ihombe Mbeya Vijijini Mkoani Mbeya. Familia
na ukoo wa Nundwe unasikitika kwa kuondokewa na mpendwa wao kwa kuwa
kazi yake Mola haina makosa Jina la Bwana libarikiwe, Bwana alitoa na
Bwana ametwaa.......Ameni.NA MBEYA YETU | | |
0 comments:
Chapisha Maoni