The Gunners walituma ofa ya paundi milioni milioni 30 kumyakua Suarez lakini Liverpool wakaikataa ofa hiyo,wakati wakielekeza nguvu zao kumpata mruguai huyo matumaini ya kumnasa Higuan na kiungo Marouane Fellaini pamoja na golikipa Julio
Cesar yameyeyuka.Bado inaaminika kwamba kocha mpya wa Real Madrid Carlo Ancelotti yupo mbioni kufanya mazungumzo na Higuan wiki ijayo ili kuzungumzia majukumu anayotaka kumkabidhi katika timu hiyo.
vyanzo vya habari kutoka Hispania vinasema kwamba mchezaji huyo anaweza akawa na maisha marefu ndani ya Bernabeu na italazimu timu inayomtaka kumwaga kitita kikubwa cha fedha ili kubadilisha mawazo yao
0 comments:
Chapisha Maoni