Searching...
Ijumaa, 12 Julai 2013

HATUKATI TAMAA MPAKA KIELEWEKE-MADRID

Real Madrid president Florentino has made it clear that Gareth Bale is his main target 
RAIS WA REAL MADRID FLORENTINO PEREZ.
wameapa kupigana kufa kupona kuhakikisha wanafikia malengo na matarajio yao ya kumpata Gareth Bale kukipiga Bernabeu msimu ujao na hawatakata tamaa hadi hapo dirisha la usajili litakapofungwa.jana katika hali iliyoolezwa kwamba ni aibu ya madrid walionyesha fulana zenye namba 11 pamoja na jina la BALE na wakasema wataiweka fulana hiyo hadi hapo atakapojiunga na klabu hiyo. 
 Tottenham manager Andre Villas-Boas will be desperate to keep Gareth Bale at White Hart Lane as he bids to get Spurs back into the Champions League 
BALE AKIWA NA KOCHA WAKE ANDY VILLA BOAZ.

0 comments:

Chapisha Maoni

 
Back to top!