Davis
Mosha "The Boss" akifanya mahojiano na kituo cha VOA jijini Washington
DC, kulia ni mwanae Edgar Mosha mwanafunzi mwenye kipaji cha masomo na
soka.
Edgar
Davis Mosha mtoto wa mfanyabiashara tajiri na maarufu boss wa kampuni
ya DELINA, Bwana Davis Mosha ahojiwa na VOA (Voice of America). Edgar na
baba yake wametua kwa kishindo nchini Marekani wakitokea Uingereza…
Edgar
Davis Mosha mtoto wa mfanyabiashara tajiri na maarufu boss wa kampuni
ya DELINA, Bwana Davis Mosha ahojiwa na VOA (Voice of America). Edgar na
baba yake wametua kwa kishindo nchini Marekani wakitokea Uingereza
ambapo Edgar amepeperusha vyema bendera ya Tanzania kwa kuitwa kufanya
majaribio na klabu ya Chelsea ya Uingereza. Swahili TV itakuletea
Exclusive video karibuni.
Davis Mosha "The Boss" akifurahia jambo katikati ya mahojiano na kituo cha VOA jijini Washington DC.
Kutoka
kushoto; Juliet , Sunday Shomary, Edgar Mosha, Davis Mosha "The Boss"
na Chief wa VOA Idhaa ya Kiswahili Dkt. Hamza Mwamoyo.
Davis Mosha "The Boss" na Edgar Davis wakipata picha ya kumbukumbu baada ya kuteta na VOA, Jijini jijini Washington DC.
Juliet, Alex Kassuwi, Edgar na The Boss wakipata picha ya ukumbusho VOA.
Edgar na Juliet wakiwa Sequoia water front.
0 comments:
Chapisha Maoni