Searching...
Jumapili, 28 Julai 2013

ANGALIA JINSI RAIS KIKWETE ALIVYOZINDUA WILAYA MPYA YA KYERWA

Umati uliojitokeza katika sherehe za uzinduzi wa wilaya mpya ya Kyerwa.…
Wananchi wakimshangilia Rais Kikwete baada ya kuzindua kivuko cha MV Ruvuvu Jumamosi Julai 27, 2013.
Umati uliojitokeza katika sherehe za uzinduzi wa wilaya mpya ya Kyerwa.
Wananchi wakimshangilia Rais Kikwete aliposimama kwa muda kuwasalimia wilayani Karagwe akielekea Rusumo kuzindua kivuko cha Ruvuvu.
(PICHA NA IKULU)

0 comments:

Chapisha Maoni

 
Back to top!