Kwa kile kinachoelezwa
kupisha zoezi la upulizwaji wa madawa ya kuua wadudu na mazalia yake
katika wodi za wagonjwa za Kibasila na Mwaisela, hospitali ya Mhimbili
ililazimika kuwalaza nje wagonjwa ili kupisha zoezi hilo. Hali hii
iliwashtua wengi kutokana na ukweli kwamba, kulaza wagonjwa nje ni
hatari kwa afya zao! Lakini jambo hili linaweza kuonekana ni la
kupuuzwa, huu ni ukweli kwamba bado sekta ya afya ina mahitaji makubwa
sana ili kukidhi mahitaji ya Watanzania.
Jumapili, 21 Julai 2013
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
0 comments:
Chapisha Maoni