Mhe.
Liberata Mulamula akisalimiana na Maafisa na Wafanyakazi wa Ubalozi wa
Tanzania nchini Marekani waliofika kumlaki kwenye yatakayokua makazi
yake Bethesda, Maryland.
Mhe.
Liberata Mulamula akisalimiana na Maafisa na Wafanyakazi wa Ubalozi wa
Tanzania nchini Marekani waliofika kumlaki kwenye yatakayokua makazi
yake Bethesda, Maryland.
Balozi
Liberata Mulamula akisalimiana na Maafisa na Wafanyakazi wa Ubalozi
(hawapo pichani) wakati walipomkaribisha nyumbani kwake, Bethesda,
Maryland.
Watoto wa Mhe. Balozi Alvin na Tanya.
Kaimu Balozi na mkuu wa Utawala na Fedha, Mama Lily Munanka katika picha.
Mhe.
Balozi Liberata Mulamula akibadilishana mawazo mawili matatu na Maafisa na
Wafanyakazi wa Ubalozi wa Tanzania nchini Marekani wakati
walipomkaribisha nyumbani kwake Bethesda, Maryland kushoto ni Afisa
Ubalozi Mindi Kasiga.
Juu
na chini ni Maafisa na Wafanyakazi wa Ubalozi wa Tanzania nchini
Marekani wakiwa tayari kumpokea Mhe. Balozi Mulamula na familia yake.
0 comments:
Chapisha Maoni