Hivi
ndivyo Mashindano ya Dunia ya kuogelea yajulikanayo kama FINA
yalivyoendelea mwishoni mwa wiki iliyopita jijini Barcelona nchini
Hispania.
Mashindano
ya diving (kupiga mbizi)yalikua ndilo tukio la kwanza katika kuwania
medali za dhahabu kama wanavyoonekana wataalamu hao katika picha.
0 comments:
Chapisha Maoni