JUU NA CHINI NI GARI DOGO AINA YA HILUX AMBAYO KISHERIA SIYO YA ABIRIA LAKINI KAMA PICHA ZINAVYOONYESHA GARI HILI LILIVYONASWA NA JICHO LA KAMERA YETU KATIKA BARABARA YA MWAI KIBAKI LILIKUA LIMEBEBA ZAIDI YA ABIRIA 20 HUKU ASKARI WA BARABARANI WAKISHUHUDIA NA KURUHUSU HALI HII....SWALI NI JEEE!! KWA HALI HII IKITOKEA AJALI NANI ALAUMIWE,ASKARI WA BARABARANI? DEREVA? MMILIKI WA GARI? ABIRIA?
Jumapili, 28 Julai 2013
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
0 comments:
Chapisha Maoni