Searching...
Alhamisi, 4 Julai 2013

WAZIRI WA MAMBO YA NDANI YA NCHI ATETA NA VIONGOZI WA DINI

 Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Dk. Emmanuel Nchimbi (katikati) akizungumza jambo na na baadhi ya viongozi wa madhehebu ya dini Mkoa wa Dar es Salaam walipomtembelea ofisini kwake jijini Dar es Salaam leo.  Kushoto (mbele) ni Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Pereira Ame Silima. Kulia ni Kamishna wa Operesheni wa Jeshi la Polisi, Paul Chagonja.
 Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Dk. Emmanuel Nchimbi akifafanua jambo katika mazungumzo hayo. 
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Dk. Emmanuel Nchimbi (katikati) akimsikiliza kwa makini mmoja wa viongozi wa dini (kulia) wa Mkoa wa Dar es Salaam wakati walipokuwa wakijadiliana masuala mbalimbali ofisini kwake jijini Dar es Salaam leo.Picha zote na Felix Mwagara wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
KUTOKA 
KITENGO CHA MAWASILIANO YA SERIKALI
WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI

0 comments:

Chapisha Maoni

 
Back to top!