Kikosi cha askari wa JKT wa kidato cha sita kwa mujibu wa sheria wakipita mbele ya mgeni rasmi kutoa heshima kwa mwendo wa pole
Hapa wakionyesha umahiri wao wa kupambana na adui kwa kutumia silaha SINGE....hapa utasikia SINGEEE wanaitikia CHOMA CHOMAAAAAA!!!!
Hapa wakionyesha umahiri wa kucheza sarakasi
Hapa wakimsikiliza mgeni rasmi (hayupo pichani)
JKT kuna kila aina ya mafunzo....JUU NA CHINI
Vijana waliomaliza mafunzo ya JKT kwa mujibu wa sheria katika kambi ya Bulombora kigoma, wakitumbuiza kwa ngoma ya asili ya kimakonde wakati wa kufunga mafunzo ya oparesheni miaka 50.
Huwezi amini kama ni makamanda wa kidato cha sita
Hapa ni kama kila mmoja anasema SIAMINI KAMA NIMEMALIZA.
0 comments:
Chapisha Maoni