Unknown 10:10 0 comments JESHI LA POLISI KIGOMA LAKAMATA BUNDUKI 34 ZA KIVITA. Home » Unlabelled » JESHI LA POLISI KIGOMA LAKAMATA BUNDUKI 34 ZA KIVITA. Kamanda wa polisi mkoa wa kigoma fraisser kashai akionyesha bunduki aina ya Rifle iliyokamatwa pamoja na bunduki nyingine 34 katika oparesheni maalum. Picha juu na chini ni baadhi tu ya Bunduki 34 zilizokamatwa katika oparesheni kigoma. Habari na picha kwa hisani ya DEOGRATIUS NSOKOLO-Kigoma Share This To : Facebook Twitter Google+ StumbleUpon Digg Delicious LinkedIn Reddit Technorati
0 comments:
Chapisha Maoni