Msemaji wa Wizara ya Fedha Bi Ingiahedi Mduma akifafanua jambo kwa Bw. Eugene Koranteng Henaku wa Umoja wa Wafanyakazi wa Serikali Kuu na Serilkali za Mitaa Nchini Ghana.Picha zote na Scola Malinga- Hazina -Tanzania
Watanzania wakipunga mikono wakati wa ufunguzi wa mikutano ya watumishi wa umma barani Afrika hapa Nchini Ghana.
Afisa
Tawala Mwandamizi wa Wizara ya Fedha Idara ya Mhasibu Mkuu wa Serikali
Bw. Merkion Ndofi akimkaribisha mwananchi wa Ghana katika banda la
Wizara ya Fedha.
Bw.
William Ghump amabaye ni Ofisa Maendeleo ya Jamii Mwandamizi wa Wizara
ya Fedha na Mkurungezi wa Utawala na Utumishi Bw. Peter Mapigano wa
Benki ya Posta Tanzania pamoja Msemaji wa Wizara ya Fedha Bi.
Ingiahedi Mduma wakipanga mkakati wa uelimishaji umma katika banda la
Wizara ya fedha.
Mkuu
wa Kitengo cha Mikopo kutoka kwa Mhasibu Mkuu wa Serikali Wizara ya
Fedha Bi. Christina Ngonyani akitoa ufafanuzi kwa wananchi wa Ghana juu
ya umuhimu wa mikopo kwa Watumishi wa Serikalini.
Afisa
Tawala Mwandamizi wa Wizara ya Fedha, Idara ya Mhasibu Mkuu wa
Serikali Bw.Merkion Ndofi akiwaeleza wanafunzi wa Ghana juu ya utendaji
kazi wa Idara ya Utawala katika wizara ya Fedha Nchini Ghana.
0 comments:
Chapisha Maoni