WIZARA YA UCHUKUZI
MAMLAKA YA HALI YA HEWA.
S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM
TELEFAX-2460772.
UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA12
ZIJAZO KUANZIA ASUBUHI YA LEO.
TAREHE 03/06/2013.
[Mkoa wa Kagera]:
|
|
Hali ya mawingu kiasi, mvua
na ngurumo katika maeneo machache na vipindi vya jua.
|
[Visiwa vya Unguja na
Pemba]:
[Mkoa wa Tanga]:
|
|
Hali ya mawingu kiasi,
mvua nyepesi katika maeneo
machache na vipindi vya jua
|
[Mikoa ya Morogoro ,Iringa, Rukwa na Ruvuma]:
[Mikoa ya Shinyanga
,Mara , Tabora na Kigoma] :
[Mikoa ya Kilimanjaro,
Arusha na Manyara]:
[Mikoa ya Singida, Mwanza
na Dodoma]:
[Mikoa ya Dar es Salaam na
Pwani]:
[Mikoa ya Lindi, Mbeya na
Mtwara]:
|
|
Hali ya mawingu kiasi na
vipindi vya jua.
|
VIWANGO VYA JOTO, MAWIO NA MACHWEO YA JUA KWA BAADHI
YA MIJI HAPA NCHINI:
MJI
|
Kiwango
cha juu cha joto
|
Machweo
(Saa)
|
ARUSHA
|
23°C
|
12:28
|
D'SALAAM
|
31°C
|
12:11
|
DODOMA
|
28°C
|
12:27
|
KIGOMA
|
31°C
|
12:53
|
MBEYA
|
20°C
|
12:31
|
MWANZA
|
30°C
|
12:43
|
TABORA
|
30°C
|
12:41
|
TANGA |
29°C
|
12:16
|
ZANZIBAR
|
30°C
|
12:11
|
PEMBA
|
29°C
|
12:16
|
MOROGORO
|
30°C
|
12:18
|
Upepo wa Pwani:Unatarajiwa kuvuma kutoka Kusini
kwa kasi ya km 20 kwa saa kwa Pwani ya
Kaskazini na kutoka Kusini mashariki kwa kasi ya km 30
kwa saa kwa Pwani ya Kusini.
Hali ya bahari:
Inatarajiwa kuwa na mawimbi madogo
hadi Makubwa kiasi.
Matazamio kwa
usiku wa leo Jumatatu 03/06/2013: Mabadiliko kidogo.
Utabiri huu umetolewa leo
tarehe 03/06/2013.
Na: MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA.
0 comments:
Chapisha Maoni