WIZARA YA UCHUKUZI
MAMLAKA YA HALI YA HEWA.
S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM
TELEFAX-2460772.
UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA12
ZIJAZO KUANZIA ASUBUHI YA LEO.
TAREHE
26/06/2013.
[Mikoa ya Arusha,
Kilimanjaro na Manyara]:
[Mkoa wa Tanga]:
[Visiwa vya Unguja na
Pemba]:
|
Hali ya mawingu kiasi, mvua
nyepesi katika maeneo machache na
vipindi vya jua.
|
|
[Mikoa ya Kagera, Mara,
Mwanza na Shinyanga]:
[Mikoa ya Iringa, Mbeya,
Rukwa na Ruvuma]:
[Mikoa ya Dodoma, Kigoma,
na Tabora na Singida]:
[Mikoa ya Dar es Salaam,
na Pwani]:
[Mikoa ya Lindi, Morogoro
na Mtwara] :
|
Hali ya mawingu kiasi na
vipindi vya jua.
|
VIWANGO VYA JOTO, MAWIO NA MACHWEO YA JUA KWA BAADHI
YA MIJI HAPA NCHINI:
MJI
|
Kiwango
cha juu cha joto
|
Machweo
(Saa)
|
ARUSHA
|
22°C
|
12:32
|
D'SALAAM
|
29°C
|
12:14
|
DODOMA
|
27°C
|
12:29
|
KIGOMA
|
29°C
|
12:55
|
MBEYA
|
22°C
|
12:34
|
MWANZA
|
29°C
|
12:49
|
TABORA
|
29°C
|
12:43
|
TANGA |
29°C
|
12:18
|
ZANZIBAR
|
28°C
|
12:14
|
PEMBA
|
28°C
|
12:18
|
MOROGORO
|
29°C
|
12:21
|
Upepo wa Pwani:Unatarajiwa kuvuma kwa kasi ya km 30 kwa saa, kutoka
Kusini-Mashariki kwa ukanda
wote wa pwani.
Hali ya bahari:
Inatarajiwa kuwa na mawimbi Makubwa
Kiasi.
Matazamio kwa
usiku wa leo Jumatano: 26/06/2013: Mabadiliko kidogo.
Utabiri huu umetolewa leo
tarehe: 26/06/2013.
0 comments:
Chapisha Maoni