Mkuu
wa kitengo cha Mawasiliano Bi. Ingiahedi Mduma akiwa na washiriki wa
nchi mbalimbali wakati wa matembezi ya hiari wakati wa kukamilisha
maonesho ya wiki ya utumishi wa umma nchini Ghana.
Watanzania
wakiwa kwenye matembezi ya hiari pamoja na washiriki wa nchi zingine
wakati wa kukamilisha maonyesho ya wiki ya utumishi wa umma Nchini
Ghana.
Washiriki
wa Tanzania na washiriki wa nchi zingine wakisubiri kuanza kwa
matembezi ya hiari wakati wa kuadhimisha maonesho ya wiki ya utumishi wa
umma Nchini Ghana.
Kikundi
cha ngoma cha Ghana kikiburudisha wakati wa siku ya kutoa tuzo kwa
washindi wa maadhimisho ya maonesho ya wiki ya utumishi wa umma nchini
Ghana.
Watanzania
wakiwa na Katibu Mkuu wa Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma
Bw. George Yambesi wakishangilia kwa kishindo ushindi waliopata katika
maadhimisho ya wiki ya utumishi wa umma nchini Ghana.
Katibu
Mkuu wa Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma Bw. George D.
Yambesi akiwa na baadhi wa washiriki waliohudhuria katika siku ya
kufunga maonesho ya wiki ya utumishi wa umma nchini Ghana.Picha zote na
Scola Malinga, Wizara ya Fedha-Tanzania
0 comments:
Chapisha Maoni