Searching...
Jumamosi, 22 Juni 2013

UTABIRI WA HALI YA HEWA JUMAPILI JUNE 23,2013 UKIWA NA TAHADHARI


           WIZARA YA UCHUKUZI
                               MAMLAKA  YA HALI YA HEWA.
S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM
TELEFAX-2460772.
UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA12 ZIJAZO KUANZIA ASUBUHI YA LEO.
                        TAREHE 23/06/2013.

[Visiwa vya Unguja na Pemba]:
[Mkoa wa Tanga]:
Hali ya mawingu kiasi mvua nyepesi katika maeneo machache na vipindi vya jua.

[Mikoa ya Kagera, Mara, Mwanza na Shinyanga]:
[Mikoa ya Iringa, Mbeya,  Mtwara na Ruvuma]:
[Mikoa ya Arusha, Kilimanjaro na Manyara]:
[Mikoa ya Dodoma, Morogoro na Singida]:
[Mikoa ya Dar es Salaam, Lindi na  Pwani]:
[Mikoa ya Kigoma, Rukwa na Tabora] :

Hali ya mawingu kiasi na vipindi vya jua.

Tahadhari:  Upepo mkali unaozidi kilomita 40 kwa saa na mawimbi makubwa yanayozidi mita 2.0 yanatarajiwa    katika maeneo ya ukanda wote wa Pwani. Tafadhali chukua tahadhari.

VIWANGO VYA JOTO, MAWIO NA MACHWEO YA JUA KWA BAADHI YA MIJI HAPA NCHINI:


MJI
Kiwango cha juu cha joto
Machweo (Saa
ARUSHA
              27°C               
12:32
   D'SALAAM
           31°C           
12:14
DODOMA
24°C
12:29
          KIGOMA           
30°C
12:55
MBEYA
19°C
12:34
MWANZA
29°C
12:49
TABORA
26°C
12:43
TANGA
30°C
12:18
ZANZIBAR
             29°C           
12:14
PEMBA
             28°C           
12:18
MOROGORO
                              28°C           
12:21

Upepo wa Pwani:Unatarajiwa kuvuma kutoka Kusini kwa kasi ya km 40 kwa saa;  kwa pwani ya Kaskazini  na kutoka Kusini-Mashariki kwa pwani ya kusini.

Hali ya bahari: Inatarajiwa kuwa na mawimbi makubwa.

Matazamio kwa usiku wa leo Jumapili 23/06/2013: Mabadiliko kidogo.

Utabiri huu umetolewa leo tarehe 23/06/2013.

Na: MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA.

0 comments:

Chapisha Maoni

 
Back to top!