Searching...
Jumapili, 23 Juni 2013

MREMBO LUCY TOMEKA AIBUKA MSHINDI WA TAJI LA REDDS MISS KINONDONI -2013




 Mshindi wa Redds Miss Kinondoni 2013, Lucy Tomeka akivalishwa taji lake na mrembo aliyekuwa akilishikilia taji hilo Redds Miss Tanzania 2012/2013, Bright Alfred. Lucy Tomeka aliweza kuchukua taji hilo kwa kuweza kuwagalagaza wenzake wapatao 12 katika kinyang’anyiro hicho kilichofanyika jana jumamosi katika ukumbi wa hoteli ya Golden Tulip jijini Dar.    


  Hapa Lucy akivalishwa utambulisho wake na uthibitisho kwamba yeye ndiye miss Redd Kinondoni 2013-2014.


Picha ya pamoja na mshindi wa mwaka jana


 Warembo waliofanikiwa kuingia katika tano bora wakifurahia kwa pamoja, katikati ni Redds Miss Kinondoni 2013 Lucy Tomeka, (shoto kwake) ni Prisca Clement, (kulia kwake) ni Phillios Lemi. Wengone ni Sarah Paul (kwanza kulia) na Linda Joseph (kwanza kushoto).


  Tatu bora ni katikati ni Redds Miss Kinondoni 2013 Lucy Tomeka, (shoto kwake) ni Prisca Clement, (kulia kwake) ni Phillios Lemi.
  

0 comments:

Chapisha Maoni

 
Back to top!