Searching...
Jumatano, 26 Juni 2013

UTABIRI WA HALI YA HEWA ALHAMISI JUNE 27,2013


WIZARA YA UCHUKUZI
                               MAMLAKA  YA HALI YA HEWA.
S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM
TELEFAX-2460772.
UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA12 ZIJAZO KUANZIA ASUBUHI YA LEO.
                        TAREHE 27/06/2013.

[Mikoa ya Arusha, Kilimanjaro na Manyara]:
[Visiwa vya Unguja na Pemba]:
[Mkoa wa Tanga]:

Hali ya mawingu kiasi, mvua nyepesi katika maeneo machache  na vipindi vya jua.

[Mikoa ya Dodoma, Kigoma,  Tabora na Singida]:
[Mikoa ya Kagera, Mara, Mwanza na Shinyanga]:
[Mikoa ya Iringa, Mbeya, Rukwa na Ruvuma]:
[Mikoa ya Lindi, Morogoro na Mtwara] :
[Mikoa ya Dar es Salaam, na  Pwani]:

Hali ya mawingu kiasi na vipindi vya jua.
                                                                                                             

VIWANGO VYA JOTO, MAWIO NA MACHWEO YA JUA KWA BAADHI YA MIJI HAPA NCHINI:


MJI
Kiwango cha juu cha joto
Machweo (Saa)
ARUSHA
               21°C               
12:32
D'SALAAM
           30°C           
12:14
DODOMA
26°C
12:29
KIGOMA           
30°C
12:55
MBEYA
23°C
12:34
MWANZA
29°C
12:49
TABORA
29°C
12:43
TANGA
28°C
12:18
ZANZIBAR
            29°C           
12:14
PEMBA
            28°C           
12:18
MOROGORO
             29°C           
12:21

Upepo wa Pwani:Unatarajiwa kuvuma kutoka Kusini; kwa kasi ya km 30 kwa saa, kwa Pwani ya Kaskazini
 na kutoka Kusini-Mashariki kwa kasi ya km 20 kwa saa, kwa Pwani ya Kusini.

Hali ya bahari: Inatarajiwa kuwa na mawimbi Makubwa Kiasi.

Matazamio kwa usiku wa leo Alhamisi: 27/06/2013: Mabadiliko kidogo.

Utabiri huu umetolewa leo tarehe: 27/06/2013.

Na: MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA.

0 comments:

Chapisha Maoni

 
Back to top!