Searching...
Jumatano, 26 Juni 2013

KUTOKA MJENGONI DODOMA

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Jaqueline Zambi (kushoto)  na  Joyce Zambi  (wapili kulia)  ambao ni Watoto wa Mbunge wa Mbozi Mashariki, Godfrey Zambi (wapili kushoto) kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma Juni 26,2013. Kulia ni Mbunge wa Buchoza na  Naibu Waziri wa Uchukuzi Dr. Charles Tizeba. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Wajumbe wa Kamati Kuu ya CCM, Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiteta na Naibu Katibu Mkuu wa CCM,Zanzibar Vuai Ali Vuai (katikati) na Mohammed Sif Khatib kabla ya kuanza kwa kikao hicho mjini Dodoma Juni 25, 2013.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)


0 comments:

Chapisha Maoni

 
Back to top!