Msaani Jacline Walper) wakizungumza
na waandishi
wa habari jijini Dar Es Salaam juu ya kufanyika kwa tamasha la filamu
jijini Mwanza kwenye viwanja vya Sahara ambalo limedhaminiwa na
GrandMalt na Isamilo
Lodge ya Mwanza.

Meneja
wa kinywaji cha Grand Malt, Consolata Adam akizungumza na waandishi wa
habari jijini Dar es Salaam leo wakati wa kutangaza Tamasha la Wazi la
Filamu Tanzania maarufu kama ‘Grand Malt Tanzania Open Film Festival’
mwaka huu ambalo linatarajiwa kufanyika katika Viwanja vya Sahara jijini
Mwanza.Kushoto ni Mratibu wa Tamasha hilo,Mussa Kisoky na kulia ni
Meneja Habari na Mahusiano wa TBL,Edith Mushi.

Mratibu
wa Tamasha Tamasha la Wazi la Filamu Tanzania maarufu kama ‘Grand Malt
Tanzania Open Film Festival’,Mussa Kisoky akizungumza na waandishi wa
habari (hawapo pichani) namna alivyojiandaa na Tamasha hilo ambalo Mwaka
huu litafanyika jijini Mwanza.

Msanii
wa Filamu kutoka Bongo Movie,Jacob Steven (kati) akizungumza na vyombo
vya habari juu ya Tamasha hilo huku akiwataka wananchi wa jiji la Mwanza
kujitokeza kwa wingi.

Msanii
wa Filamu nchini kutoka Bongo Movie,Jacqueline Wolper akizungumza na
vyombo vya habari juu ya Tamasha hilo huku akiwataka wananchi wa jiji la
Mwanza kujitokeza kwa wingi.

Picha ya pamoja mara baada ya mkutano huo.
picha kwa hisani ya demasho blog.
**** *****

0 comments:
Chapisha Maoni