Searching...
Ijumaa, 14 Juni 2013

BABA YAKE NA SUZAN MONGI WA TBC AZIKWA


 Makaburini.
 Ndugu na jamaa wakijiandaa na mazishi.
  Mama Mzazi wa Suzana Mungy  bibi Agnesi Julian Lukindo(75) akiweka udongo katika kaburi la mumewe mpendwa mzee Julian Lukindo Bibi Suzana Mungy akiwa pamoja na ndugu zake makaburini  pembeni ya jeneza la Baba yao Mzee Julian Lukindo 
 
 Bibi Suzana Mungy wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) akiweka udongo katika kaburi la Baba yake mzazi Mzee Julian Kibindo Lukindo(78) ambaye amezikwa  jana jioni kijijini kwake Muheza Tanga Mzee Lukindo amezaliwa 1935 na amefariki tarehe 10june2013.
Picha ya Marehemu Mzee Julian Kibindo Lukindo
PICHA NA CHRIS MFINANGA

0 comments:

Chapisha Maoni

 
Back to top!