Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akimkaribisha Mfalme Mswati wa (ii) wakati alipowasili kwenye
Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, jijini Dar es Salaam leo Juni
26, 2013. Mfalme Mswati wa ii, ametua nchini kwa ajili ya kuhudhuria Mkutano wa 'Smat Patnership' unaotarajia kuanza Juni 28 mwaka huu.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiongozana na Mfalme Mswati ii, baada ya kuwasili
kwenye Uwanja wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam, leo
Juni 26, 2013. Mfalme Mswati wa ii, ametua nchini kwa ajili ya kuhudhuria Mkutano wa 'Smat Patnership' unaotarajia kuanza Juni 28 mwaka huu.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akiwa katika mazungumzo na Mfalme Mswati II, mara baada
ya kuwasili kwenye Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, jijini Dar es
Salaam, leo Juni 28, 2013 kwa ajili ya kuhudhuria mkutano wa 'Smat Patnership', unaotarajia kuanza Juni 28. Kushoto ni mke wa Mfalme Mswati.
0 comments:
Chapisha Maoni