Searching...
Ijumaa, 28 Juni 2013

MARIO GOMEZ KUMRITHI CARLOS TEVEZ MANCHESTER CITY?

MARIO GOMEZ
Manchester City wamemuorodheshamshambuaji nguli wa klabu ya soka ya ujerumani ya mabingwa wa soka barani ulaya na ligi kuu ya ujerumani ya Bundesliga Bayern Munich Mario Gomez kama mmoja kati ya washambualiaji wanne wanaotarajiwa kukijenga kikosi cha man city hasa hasa baada ya mshambuliaji wao muajentina Carlos Tevez kutimkia kunako  Juventus.

0 comments:

Chapisha Maoni

 
Back to top!