Skauti
Mkuu wa Chama cha Skauti Tanzania mteule Mhe. Mwantumu Mahiza akisubiri
kuapishwa Ikulu jijini Dar es salaam Jumatatu Juni 23, 2013
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akijiandaa kuvishwa skafu na skauti kabla ya
kumuapisha Skauti Mkuu wa Chama cha Skauti Tanzania Mhe. Mwantumu Mahiza
akisubiri kuapishwa Ikulu jijini Dar es salaam Jumatatu Juni 23, 2013.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akivishwa skafu na skauti kabla ya
kumuapisha Skauti Mkuu wa Chama cha Skauti Tanzania Mhe. Mwantumu Mahiza
akisubiri kuapishwa Ikulu jijini Dar es salaam Jumatatu Juni 23, 2013
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akiweka sahihi baada ya kumuapisha Skauti Mkuu wa
Chama cha Skauti Tanzania Mhe. Mwantumu Mahiza baada ya kumuapisha
Ikulu jijini Dar es salaam Jumatatu Juni 23, 2013
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akimkabidhi vitendea kazi Skauti Mkuu wa Chama
cha Skauti Tanzania Mhe. Mwantumu Mahiza baada ya kumuapisha Ikulu
jijini Dar es salaam Jumatatu Juni 23, 2013
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akimpongeza Skauti Mkuu wa Chama cha Skauti
Tanzania Mhe. Mwantumu Mahiza baada ya kumuapisha Ikulu jijini Dar es
salaam Jumatatu Juni 23, 2013
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akipiga picha na Skauti Mkuu wa Chama cha Skauti
Tanzania Mhe. Mwantumu Mahiza baada ya kumuapisha Ikulu jijini Dar es
salaam Jumatatu Juni 23, 2013
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Waziri Mkuu Mstaafu Dkt Salim Ahmed
Salim, Jaji Kiongozi Fakih Jundu na Skauti Mkuu wa Chama cha Skauti
Tanzania Mhe. Mwantumu Mahiza baada ya kumuapisha Ikulu jijini Dar es
salaam Jumatatu Juni 23, 2013
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akipiga picha na Skauti Mkuu wa Chama cha Skauti
Tanzania Mhe. Mwantumu Mahiza pamoja na viongozi wa maskatu na skauti
baada ya kumuapisha Ikulu jijini Dar es salaam Jumatatu Juni 23, 2013.
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akipiga picha na Skauti Mkuu wa Chama cha Skauti
Tanzania Mhe. Mwantumu Mahiza na familia yake baada ya kumuapisha
Ikulu jijini Dar es salaam Jumatatu Juni 23, 2013
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akipiga picha na Skauti Mkuu wa Chama cha Skauti
Tanzania Mhe. Mwantumu Mahiza pamoja na waheshimiwa wabunge ambao ni
maskauti baada ya kumuapisha Ikulu jijini Dar es salaam Jumatatu Juni
23, 2013
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na skauti Ismail Aden Rageh na
wabunge maskauti Ikulu jijini Dar es salaam Jumatatu Juni 23, 2013
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akipiga picha na Skauti Mkuu wa Chama cha Skauti
Tanzania Mhe. Mwantumu Mahiza pamoja na wanachama wa UWT wilaya ya
Ilala baada ya kumuapisha Ikulu jijini Dar es salaam Jumatatu Juni 23,
2013
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akipiga picha na Skauti Mkuu wa Chama cha Skauti
Tanzania Mhe. Mwantumu Mahiza na viongozi wa skauti nchini baada ya
kumuapisha Ikulu jijini Dar es salaam Jumatatu Juni 23, 2013
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na skauti Livingstone Lusinde ambaye pia
ni Mbunge wa Mtera Ikulu jijini Dar es salaam Jumatatu Juni 23, 2013
Rais Jakaya Kikwete akimwapisha, Mwantumu Mahiza kuwa Skauti Mkuu wa
Chama cha Skauti Tanzania katika hafla iliyofanyika leo Ikulu, Dar es
Salaam.
JK akimkabidhi Mahiza zana za kufanyia kazi
JK akisalimiana na Dk. Salim Ahmed Salim aliyehudhuria hafla hiyo
JK akipiga picha na Mahiza
JK akiwa na Mahiza, Dk. Salim Ahmed Salim pamoja Jaji Kiongozi, Fakih Jundu
JK akiwa katika picha ya pamoja na skauti wakiwemo wabunge.
JK akipiga picha na familia ya Mwantumu Mahiza
JK akiwa katika picha ya pamoja na wabunge Skauti
JK akizungumza na baadhi ya wabunge skauti waliohudhuria sherehe za kuapishwa Mwantumu Mahiza
JK na Mahiza akiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa UWT
JK akiwa katika picha ya pamoja na Maahiza pamoja na Skauti Mkuu aliyemaliza muda wake, Idd Kipingu
Rais Jakaya Kikwete (kulia) akizungumza na skauti wabunge baada ya
kumuapisha Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Mwantumu Mahiza (kushoto) kuwa
Kamishna Mkuu wa Chama cha Skauti Tanzania, Ikulu, Dar es Salaam
Mahiza akipongezwa na skauti wenzie
Kipingu akimvisha kofia Mahiza
0 comments:
Chapisha Maoni