Searching...
Jumamosi, 22 Juni 2013

LIVERPOOL WANASA KIFAA KUTOKA SEVILLA,KILIKUA KINAKIPIGA NA BARCELONA KWA MKOPO

Luis Alberto 
LUIS ALBERTO.
Taarifa zilizotolewa hivi punde zinasema klabu ya Liverpoolimefanikiwa kumsajili mshambuliaji wa Sevilla Luis Alberto mkataba wa muda mrefu kwa ada inayoaminika ni paundi millionib6.8.
mshambuliaji huyo mwenye umri wa miaka 20 alikua akiichezea kwa mkopo timu ya  Barcelona Blakini mabingwa hao wa Hispania walitaka kumsajili baadae wakaahirisha na Liverpool kutumia mwanya huo kupata saini yake.
Kocha wa Liverpool Brendan Rodgers amekaririwa akisema"Luis Alberto ni mchezaji mzuri na mchezaji sahihi kwa Liverpool kuwa naye kwa sasa.
"naangalia uwezekano wa kumsaidia kukuza kipaji chake kwani bado ni mdogo"
Alberto akiwa Barcelona B amecheza mechi 38 na kufunga magoli 11

0 comments:

Chapisha Maoni

 
Back to top!