Arsenal wamefikia makubaliano ya mwisho na Real Madrid kwaajili ya uhamisho wa mshambuliaji Gonzalo Higuain,Higuain mwenye miaka 25 ameingia mkataba wa miaka minne kuichezea Arsenal baada ya kumaliza muda mrefu wa kukalia benchi la Real Madrid akiwa chini ya mreno Jose Mourinho ambaye kwa sasa watambana siku ya mechi kubwa zitakapokutana Arsenal na Chelsea.
Gonzalo Higuain anakua mchezaji anayelipwa ghali kuliko wengine wote Arsenal ambapo atapokea kitita cha paundi milioni130,000 kwa wiki.
0 comments:
Chapisha Maoni