Searching...
Jumamosi, 22 Juni 2013

JE,UNAJUA AMBULACE ILIYOKUA IMEMBEBA MZEE NELSON MANDELA KWENDA HOSIPTALINI ILIHARIBIKA INJINI?...SOMA HAPA

Nelson Mandela in June 2010  
RAIS MSTAAFU WA AFRIKA KUSINI-MZEE NELSON MANDELA.
Ambulace iliyokuwa imembeba rais wa kwanza wa Afrika Kusini Mzee Nelson Madiba Mandela wiki mbili zilizopita ilipata matatizo ya injini wakati mzee huyo akiwa njiani kupelekwa hosiptalini kwa matibabu.
msemaji wa ikulu ya nchi hiyo Mac Maharaj amedhibitisha tukio hilo lililotokea wiki mbili zilizopita lakini hapo mwanzo taarifa zilikua hazijatolewa ambapo amesema ni kweli wakati wakiwa njiani kwenda hosiptalini ambulace iliharibika injini lakini mzee Mandela alihamishiwa kwenye ambulace ingine hakupata madhara yoyote kwani alikua chini ya uangalizi wa kutosha wa manes.
mtandao wa marekani wa CBS umesema iliwachukua dakika 40 kusubiri na kumuhamishia kwenye ambulace nyingine,
Mzee Mandela mwenye umri wa miaka 94, alikuwa akisafirishwa kutoka Johannesburg kwenda Pretoria hosiptalini mapema tarehe 8,June,hii ilikuwa ni mara ya tatu mzee Mandela kukimbizwa hosiptalini kwa mwaka huu.
CHANZO: NA BBC

0 comments:

Chapisha Maoni

 
Back to top!