Mbunge wa kuteuliwa, James Mbatia akichangia mada wakati wa
majadala wa bajeti ya Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Bungeni mjini
Dodoma leo.
Mbunge
wa kuteuliwa, James Mbatia akionesha baadhi ya vitabu ambavyo
vina makosa mbalimbali, vinavyotumika kufundishia mashuleni, wakati
alipokuwa akichangia bajeti ya Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi,
bungeni mjini Dodoma jana.
(Picha na Joseph Senga)
|
Jumatano, 5 Juni 2013
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
0 comments:
Chapisha Maoni
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.