Searching...
Ijumaa, 31 Mei 2013

ZIARA YA KINANA MKOANI NJOMBE

Maelfu ya wananchi wakimlaki Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahma Kinana (chini ya bendera) alipowasili leo Machi 31, 2013, kwenye Ofisi ya CCM Wilaya ya Wangong'ombe, akiwa katika ziara ya kukagua utekelezaji wa ilani ya CCM, na kukagua na kuimarisha uhai wa Chama mkoani Njombe.
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akishiriki kufyatua tofali kwenye ujenzi wa zahanati ya Samaria, Kata ya Makoga Wilaya ya Wangong;'ombe alipopita eneo hilo, akiwa katika ziara ya kukagua utekelezaji wa ilani ya CCM, na kukagua na kuimarisha uhai wa Chama mkoani Njombe.

0 comments:

Chapisha Maoni

 
Back to top!