Searching...
Ijumaa, 31 Mei 2013

MTU MMOJA AFARIKI DUNIA BAADA YA KUDONDOKA WAKATI AKIDANDIA DALA DALA

afariki-akidandia-daladala-0

afariki-akidandia-daladala
Mtu mmoja ambaye jina lake bado halijafahamika, amefariki dunia baada ya kuteleza na kuanguka wakati alipokua akijaribu kudandia Daladala maeneo ya Ilala Boma, Jijini Dar es Salaam, asubuhi leo. Marehemu huyo baada ya kuanguka na kupiga kichwa kwenye lami, alipasuka kichwa na kuvuja damu nyingi kichwani, na kufariki katika eneo la tukio.

Mwili wa marehemu umepelekwa katika Hospitali ya Amana, Ilala. 

0 comments:

Chapisha Maoni

 
Back to top!