WIZARA YA UCHUKUZI
MAMLAKA YA HALI YA HEWA.
S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM
TELEFAX-2460772.
UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA12
ZIJAZO KUANZIA ASUBUHI YA LEO.
TAREHE 31/05/2013.
[Mikoa ya Kagera na
Mwanza]:
|
Hali ya mawingu kiasi, mvua
na ngurumo katika maeneo machache na vipindi vya jua.
|
|
[Mikoa ya Tanga , Dar es
Salaam na Pwani]:
[Visiwa vya Unguja na
Pemba]:
|
Hali ya mawingu kiasi, mvua
nyepesi katika maeneo machache
na vipindi vya jua
|
|
[Mkoa wa Mara]:
|
Hali ya mawingu kiasi, ngurumo
katika maeneo machache na
vipindi vya jua.
|
|
[Mikoa ya Morogoro ,
Iringa, Rukwa na Ruvuma]:
[Mikoa ya Shinyanga, Tabora
na Kigoma] :
[Mikoa ya, Singida, Mbeya
na Dodoma]:
[Mikoa ya Kilimanjaro na Manyara]:
[Mkoa wa Lindi na Mtwara]:
[Mkoa wa, Arusha]:
|
Hali ya mawingu kiasi na
vipindi vya jua.
|
VIWANGO VYA JOTO, MAWIO NA MACHWEO YA JUA KWA BAADHI
YA MIJI HAPA NCHINI:
MJI
|
Kiwango
cha juu cha joto
|
Machweo
(Saa)
|
ARUSHA
|
24°C
|
12:28
|
D'SALAAM
|
30°C
|
12:11
|
DODOMA
|
28°C
|
12:26
|
KIGOMA
|
31°C
|
12:52
|
MBEYA
|
24°C
|
12:31
|
MWANZA
|
31°C
|
12:43
|
TABORA
|
29°C
|
12:40
|
TANGA |
30°C
|
12:15
|
ZANZIBAR
|
30°C
|
12:11
|
PEMBA
|
29°C
|
12:04
|
MOROGORO
|
31°C
|
12:18
|
Upepo wa Pwani:Unatarajiwa kuvuma kutoka Kusini
Mashariki kwa kasi ya km 30 kwa saa kwa Pwani ya
Kaskazini na kwa
kasi ya km 20 kwa saa kwa Pwani ya Kusini.
Hali ya bahari:
Inatarajiwa kuwa na mawimbi Madogo hadi
Makubwa kiasi.
Matazamio kwa
usiku wa leo Ijumaa 31/05/2013: Mabadiliko kidogo.
Utabiri huu umetolewa leo
tarehe 31/05/2013.
Na: MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA.
0 comments:
Chapisha Maoni