Mkaa ukiwa sokoni makete amabo unauzwa sh. 2000 na watoto hao ambapo kwa mujibu wa maelezo yao wamesema wanatumwa na wazazi wao kufanya hivyo
Hapa wakijiandaa kuugawa mkaa huo kidogo kidogo ili wautembeze mitaani kusaka wateja
 Waangalie wafanyabiahsra hawa, ambao kwa mtazamo wangu wanatakiwa wafanyekazi moja kubwa ambayo ni kusoma
 Wakitafakari cha kufanya
 Anazunguka mitaani kutafuta wateja
Akitafakari jambo, sijui kachoka ama vipi maana hii biashara duuuuuuh!