Searching...
Jumamosi, 18 Mei 2013

WAZIRI MKUU MHESHIMIWA MIZENGO PETER AWADHIHIRISHIA WATANZANIA KWAMBA YEYE NI MTOTO WA MKULIMA ...TAZAMA SHAMBA LAKE

Ujumbe wa madiwani wa halmashauri ya wilaya ya Makete wakipata maelezo kutoka kwa watumishi wa shamba la waziri mkuu Mizengo Pinda walipofanya ziara ya kujionea shughuli zinazoendeshwa shambani humo.
 Naibu waziri wa maji na mbunge wa jimbo la Makete Mh. Dkt Binilith Mahenge(kushoto) akiwa na katibu wa CCM wilaya ya Makete Miraji Mtaturu katika shamba la waziri mkuu Pinda lililopo Dodoma.
Nyanya chungu zilizopo shambani humo.
Diwani wa kata ya Isapulano wilayania Makete akiangalia nyanya chungu.
Mizinga ya nyuki wakali na wapole ambayo ipo kwenye shamba la waziri mkuu Mizengo Pinda.
Hizo ni ekari namba mbili ya zabibu
 
Hiyo ni mbegu mpya ya kisasa ya mgomba
Mbuzi nao wapo wa kutosha.

0 comments:

Chapisha Maoni

 
Back to top!