Searching...
Jumamosi, 18 Mei 2013

UPATIKANAJI WA TIKETI ZA MECHI YA LEO NI BALAA...ONA HUO MTITI,KAMA HUUWEZI KUBALI KULANGULIWA

NI MASHABIKI NA WAPENZI WA SOKA WAKIWA KATIKA HARAKATI ZA KUPATA TIKETI ZA KUWAONA WATANI WA JADI SIMBA NA YANGA HII LEO....MECHI HIYO ITATANGAZWA MOJA KWA MOJA NA RADIO ONE STEREO.

0 comments:

Chapisha Maoni

 
Back to top!