JESHI LA POLISI MKOANI MBEYA LIMEFANIKIWA KUWAUA WATU WATANO PAPO HAPO WANAODHANIWA KUWA NI MAJAMBAZI ENEO LA GARI JEMBE BAADA YA ASKARI POLISI KULISIMAMISHA GARI LILILOKUWA NA WATU HAO NA BADALA YAKE KUKAIDI NA KUANZA KUWARUSHIA RISASI POLISI AMBAPO INADAIWA KUWA WATU HAO WALIKUA MBIONI KWENDA KUFANYA UHALIFU.
AKIZUNGUMZA NA RADIO ONE STEREO MWANAHABARI WA KITUO HICHO AKIWA ENEO LA TUKIO EMMANUEL LENGWA AMESEMA HAKUNA ASKARI WALA MWANANCHI YEYOTE ALIYEJERUHIWA KUFUATIA MAJIBISHANO HAYO YA RISASI.
PICHA ZA TUKIO HILO UTAZIONA HAPA HIVI PUNDE
Ijumaa, 3 Mei 2013
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
0 comments:
Chapisha Maoni