Searching...
Jumamosi, 11 Mei 2013

WALIOKUFA KATIKA MLIPUKO WA KANISA ARUSHA WAZIKWA KWA HESHIMA KUBWA

Waziri wa Mambo ya ndani, Dk Emmanuel Nchimbi
akiweka shada la maua kwa niaba ya Waziri Mkuu, Mizengo Pinda aliyeondoka kabla ya zoezi hilo kufanyika, katika ibada ya mazishi  ya waumini waliokufa baada ya kulipuliwa na blomu katika Kanisa la Katoliki, Arusha.
 Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa akitoa heshima za mwisho kwa moja ya miili hiyo.
 Kiongozi wa Kambi ya Upinzani bungeni, Freeman Mbowe
akiweka shada la maua katika moja ya makaburi hayo.
 baadhi ya majeneza yenye miili ya marehemu ikiwa kanisani tayari kuombewa.

0 comments:

Chapisha Maoni

 
Back to top!