MJUMBE wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Bw. Joseph
Butiku (katikati) akichangia hoja katika Kikao cha ndani cha Tume hiyo
kilichofanyika katika Ofisi za Makao Makuu ya Tume Jijini Dar es Salaam
leo (Alhamisi Mei 16, 2013). Wengine ni Wajumbe wa Tume, Alhaji Said
El Maamry (kushoto) na Bw. Yahya Msulwa.
MJUMBE wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Bi. Mwatumu Malale (kushoto)
akichangia hoja katika Kikao cha ndani cha Tume hiyo kilichofanyika
katika Ofisi za Makao Makuu ya Tume Jijini Dar es Salaam leo (Alhamisi
Mei 16, 2013). Wengine ni Wajumbe wa Tume, Bw. Awadh Said (katikati)
na Richard Lyimo.Picha na Tume ya Katiba
0 comments:
Chapisha Maoni