Searching...
Ijumaa, 17 Mei 2013

UTABIRI WA HALI YA HEWA LEO IJUMAA MAY 17



           WIZARA YA UCHUKUZI
                               MAMLAKA  YA HALI YA HEWA.
S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM
TELEFAX-2460772.
UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA12 ZIJAZO KUANZIA ASUBUHI YA LEO.
TAREHE 16/05/2013.


[Mikoa ya Tanga, Dar Es Salaam na Pwani]:
[Mikoa ya Mtwara na Lindi]:
[Visiwa vya Unguja na Pemba]:

Hali ya mawingu kiasi, mvua katika  maeneo machache na vipindi  vya jua

[[Mikoa ya Dodoma, Singida na Tabora]:
[Mikoa ya Morogoro, Ruvuma, Mbeya na Iringa]:
[Mikoa ya, Rukwa, Kigoma na Shinyanga]:
[Mikoa ya Kagera, Mara na Mwanza  ]:
 [Mikoa ya Kilimanjaro, Arusha na Manyara]:

Hali ya mawingu kiasi na vipindi  vya jua.

VIWANGO VYA JOTO, MAWIO NA MACHWEO YA JUA KWA BAADHI YA MIJI HAPA NCHINI:

MJI
Kiwango cha juu cha joto
Machweo (Saa)
ARUSHA
              23°C               
12:29
D'SALAAM
           30°C           
12:12
DODOMA
28°C
12:28
KIGOMA           
30°C
12:53
MBEYA
23°C
12:33
MWANZA
30°C
12:44
TABORA
28°C
12:41
TANGA
30°C
12:16
ZANZIBAR
            29°C           
12:12
PEMBA
            29°C           
12:16
MOROGORO
             29°C           
12:19

Upepo wa Pwani: Unatarajiwa kuvuma  kwa kasi ya km 20 kwa saa kutoka   Kusini-mashariki 
                                kwa Pwani  yote.

Hali ya bahari: Inatarajiwa kuwa na mawimbi Madogo.

 Matazamio kwa usiku wa leo Ijumaa: 17/05/2013: Mabadiliko kidogo.

Utabiri huu umetolewa leo tarehe 17/05/2013. 

Na: MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA

0 comments:

Chapisha Maoni

 
Back to top!