Home
»
Unlabelled
» UZINDUZI WIKI YA FISTULA ULIVYOFANA BUKOBA
Mkuu wa Wilaya ya Bukoba Zaipora Pangani akikabidhi funguo ya gari kwa Balozi wa Chapa Vodacom…
Mkuu
wa Wilaya ya Bukoba Mhe. Zaipora Pangani akiongea kwenye hafla ya
uzinduzi wa wiki ya maadhimisho ya wiki ya fistula leo mjini Bukoba. Wa
kwanza kulia ni Balozi wa Chapa Vodacom Msanii Mwana FA na Meneja
Uhusiano wa Nje wa Vodacam Salum Mwalim. Wengine pichani kushoto ni
Mwakilishi wa CCBRT Kasper Mmuya na Katibu Tawala Mkoa wa Kagera Nassor
Mnambila.Maadhimisho hayo yanafadhiliwa na Vodacom, Vodafone na CCBRT Mkuu
wa Wilaya ya Bukoba Zaipora Pangani akikabidhi funguo ya gari kwa
Balozi wa Chapa Vodacom Msanii Mwana FA tayari kuanza safari ya kuanza
Bukoba kwenda Dar salaam kupitia mikoa mbalimbali kuelimisha jamii juu
ya tatizo la fistula yakiwa na ujumbe fistula inatibika, jitokeza upate
matibabu bila ya malipo katika hospitali ya CCBRT kwa ufadhili wa
Vodacom na Vodafone ya nchoini Uingereza. Mwakilishi
wa Taasisi ya CCBRT Kasper Mmuya akiongea kwenye hafla ya uzinduzi wa
wiki ya maadhimisho ya wiki ya fistula leo mjini Bukoba. Wengine pichani
ni Kkatibu Tawala Mkoa wa Kagera Nassor Mnambila, Mkuu wa Wilaya ya
Bukoba Mhe. Zzaipora Pangani, Meneja Uhusiano wa Nje wa Vodacom Salum
Mwalim na Balozi wa Chapa Vodacom Msanii Mwana FA.Maadhimisho hayo
yanafadhiliwa na Vodacom, Vodafone na CCBRT.
Mkuu
wa Wilaya ya Bukoba Zaipora Pangani akikabidhi funguo ya gari kwa
Balozi wa Chapa Vodacom Msanii Mwana FA tayari kuanza safari ya kuanza
Bukoba kwenda Dar salaam kupitia mikoa mbalimbali kuelimisha jamii juu
ya tatizo la fistula na jinsi matibabu yanavyopatikana bila malipo
katika hospitali ya CCBRT kwa ufadhili wa Vodacom. Kulia ni Katibu
Tawala wa Mkoa wa Kagera Nassor Mnambila na Meneja Uhusiano wa Nje wa
Vodacom Salum Mwalim.Kilelele cha maadhimisho hayo kitafanyika Mei 23
siku ya fistula duniani. Wakazi
wa Mji wa Bukoba waliofurika kushuhudia uzinduzi wa wiki ya maadhimisho
ya wiki ya fistula uliofanywa leo mjini humo kueleka siku ya fistula
duniani Mei 23. Maadhimisho hayo yanaratibiwa na kufadhiliwa na
Vvodacom, Vodafone na CCBRT yakiwa na ujumbe “Fistula inatibika,
jitokeza upate matibabu bila ya malipo.” Balozi
wa Chapa Vodacom Msanii Mwana FA akchana mistari kukonga nyonyo za
wakazi wa mji wa Buko wakati wa uzinduzi wa wiki ya maadhimisho ya wiki
ya fistula uliofanywa leo mjini humo kueleka siku ya fistula duniani Mei
23. Maadhimisho hayo yanaratibiwa na kufadhiliwa na Vvodacom, Vodafone
na CCBRT yakiwa na ujumbe “Fistula inatibika, jitokeza upate matibabu
bila ya malipo.”
0 comments:
Chapisha Maoni