WIZARA YA UCHUKUZI
MAMLAKA YA HALI YA HEWA.
S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM
TELEFAX-2460772.
UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA12
ZIJAZO KUANZIA ASUBUHI YA LEO.
TAREHE 19/05/2013.
[Mikoa ya Tanga, Dar Es
Salaam na Pwani]:
[Visiwa vya Unguja na Pemba]:
[Mkoa wa Morogoro]:
|
![]() |
Hali ya mawingu kiasi, mvua
katika maeneo machache na vipindi vya jua
|
[Mkoa wa Iringa]
|
![]() |
Hali ya mawingu kiasi, mvua
nyepesi katika maeneo machache na vipindi vya jua
|
[Mikoa ya Kagera na Mara]
|
![]() |
Hali ya mawingu kiasi,
ngurumo na vipindi vya jua.
|
[[Mikoa ya Dodoma, Singida,
Mwanza na Tabora]:
[Mikoa ya Ruvuma na Mbeya]:
[Mikoa ya, Rukwa, Kigoma na
Shinyanga]:
[Mikoa ya Kilimanjaro,
Arusha na Manyara]:
[Mikoa ya Lindi na Mtwara]:
|
![]() |
Hali ya mawingu kiasi na
vipindi vya jua.
|
VIWANGO VYA JOTO, MAWIO NA MACHWEO YA JUA KWA BAADHI
YA MIJI HAPA NCHINI:
MJI
|
Kiwango cha juu cha
joto
|
Machweo (Saa)
|
ARUSHA
|
21°C
|
12:29
|
D'SALAAM
|
29°C
|
12:12
|
DODOMA
|
29°C
|
12:28
|
KIGOMA
|
31°C
|
12:53
|
MBEYA
|
22°C
|
12:33
|
MWANZA
|
28°C
|
12:44
|
TABORA
|
30°C
|
12:41
|
TANGA |
29°C
|
12:16
|
ZANZIBAR
|
28°C
|
12:12
|
PEMBA
|
28°C
|
12:16
|
MOROGORO
|
30°C
|
12:19
|
Upepo wa Pwani: Unatarajiwa kuvuma kutoka
Kusini; kwa kasi ya km 30 kwa saa kwa Pwani ya kaskazini na kwa kasi ya km 40 kwa
saa kwa Pwani ya Kusini
Hali ya bahari:
Inatarajiwa kuwa na mawimbi Makubwa
kiasi hadi makubwa.
Matazamio kwa usiku wa leo Jumapili:
19/05/2013: Mabadiliko kidogo.
Utabiri huu umetolewa leo
tarehe 19/05/2013.
Na: MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA
0 comments:
Chapisha Maoni