Searching...
Jumatano, 29 Mei 2013

UTABIRI WA HALI YA HEWA TAREHE30,2013 ALHAMISI



           WIZARA YA UCHUKUZI
                               MAMLAKA  YA HALI YA HEWA.
S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM
TELEFAX-2460772.
UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA12 ZIJAZO KUANZIA ASUBUHI YA LEO.
TAREHE 30/05/2013.


[Mkoa wa Mara]:

Hali ya mawingu kiasi, mvua na ngurumo  katika  maeneo machache na vipindi vya jua.

[Mikoa ya Tanga , Dar es Salaam na Pwani]:
[Visiwa vya Unguja na Pemba]:

Hali ya mawingu kiasi, mvua katika  maeneo  machache   na vipindi  vya jua

[Mkoa wa Kagera ]:


Hali ya mawingu kiasi,  ngurumo  katika  maeneo machache na vipindi vya jua.

[Mikoa ya Morogoro , Iringa, Rukwa  na Ruvuma]:
[Mikoa ya Shinyanga, Tabora na Kigoma] :
[Mikoa ya, Singida, Mbeya Mwanza na Dodoma]:
[Mikoa ya Kilimanjaro, Arusha na Manyara]:
[Mkoa wa Lindi na Mtwara]:
Hali ya mawingu kiasi na vipindi vya jua.

VIWANGO VYA JOTO, MAWIO NA MACHWEO YA JUA KWA BAADHI YA MIJI HAPA NCHINI:

MJI
Kiwango cha juu cha joto
Machweo (Saa)
ARUSHA
22°C               
12:28
D'SALAAM
32°C           
12:11
DODOMA
28°C
12:26
KIGOMA           
30°C
12:52
MBEYA
24°C
12:31
MWANZA
30°C
12:43
TABORA
30°C
12:40
TANGA
30°C
12:15
ZANZIBAR
31°C           
12:11
PEMBA
29°C           
12:04
MOROGORO
30°C           
12:18

Upepo wa Pwani:Unatarajiwa kuvuma kutoka Kusini kwa kasi ya km 30 kwa saa kwa Pwani ya Kaskazini
                                 na kutoka Kusini Mashariki  kwa kasi ya km 20 kwa saa kwa Pwani ya Kusini.

Hali ya bahari: Inatarajiwa kuwa na mawimbi Madogo hadi Makubwa kiasi.

Matazamio kwa usiku wa leo Alhamisi 30/05/2013: Mabadiliko kidogo.

Utabiri huu umetolewa leo tarehe 30/05/2013.

Na: MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA.

0 comments:

Chapisha Maoni

 
Back to top!