Searching...
Alhamisi, 9 Mei 2013

UTABIRI WA HALI YA HEWA MAY 10,2013 IJUMAA



WIZARA YA UCHUKUZI
  MAMLAKA  YA HALI YA HEWA.
S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM

TELEFAX-2460772.

UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA12 ZIJAZO KUANZIA ASUBUHI YA LEO.

TAREHE 10/05/2013.


[Mikoa ya Kagera, Mwanza na Mara,]:
[Mkoa wa Kigoma  ]:
Hali ya mawingu kiasi, mvua na ngurumo katika  maeneo machache na vipindi  vya jua

[Mkoa wa Tanga, Visiwa vya Unguja na Pemba]:
[Mikoa ya Dar Es Salaam na Pwani]
[Mikoa ya Mtwara na Lindi]
[Mikoa ya Kilimanjaro, Arusha na Manyara]:

Hali ya mawingu kiasi na mvua katika
maeneo  machache na vipindi  vya  jua.

[Mikoa ya Morogoro, Rukwa,  na Ruvuma]  :
[Mikoa ya Dodoma na Shinyanga]:
[Mikoa ya Singida na Tabora]:
[Mikoa ya Mbeya na Iringa]:


Hali ya mawingu kiasi na vipindi  vya  jua.

TAARIFA:  
KUONDOA TAHADHARI YA UPEPO MKALI NA MAWIMBI MAKUBWA KATIKA MWAMBAO WA PWANI .
VIWANGO VYA JOTO, MAWIO NA MACHWEO YA JUA KWA BAADHI YA MIJI HAPA NCHINI:

MJI
Kiwango cha juu cha joto
Machweo (Saa)
ARUSHA
22°C               
12:30
D'SALAAM
31°C           
12:15
DODOMA
29°C
12:30
KIGOMA           
29°C
12:55
MBEYA
22°C
12:36
MWANZA
28°C
12:45
TABORA
29°C
12:43
TANGA
30°C
12:18
ZANZIBAR
30°C           
12:15
PEMBA
28°C           
12:18
MOROGORO
29°C            
12:22

Upepo wa Pwani: Unatarajiwa kuvuma  kutoka  Kusini; kwa kasi ya km 30 kwa saa katika Pwani  ya              Kaskazini  na kutoka Kusini-Mashariki kwa kasi ya km 20 kwa saa kwa Pwani ya Kaskazini.

Hali ya bahari: Inatarajiwa kuwa na mawimbi madogo hadi makubwa kiasi.

Matazamio kwa usiku wa leo Ijumaa: 10/05/2013: Mabadiliko kidogo.

Utabiri huu umetolewa leo tarehe 10/05/2013.

Na: MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA.


0 comments:

Chapisha Maoni

 
Back to top!