M23 Na serekali ya DRC wakiwa ndani ya Mkutano wa pamoja wa usuluhishi huko Munyonyo jijini Kampala nchini Uganda katika mkutano wa pande mbili zinazozozana DRC na wasuluhishi unaoendelea nchini humo.
Crispuis Kiyonga waziri wa ulinzi wa Ugnada ambaye pia ndiye msuluhishi wa mzozo wa DRC akiwa mkutanoni huko kampala nchini uganda.
Makamanda wa M23 wakimsikiliza kwa makini kiongozi wao.
Bertran Bisimwa kiongozi wa waasi wa M23 akiwa Bunagana ambayo ndiyo ngome yao huko mashariki mwa DRC.
Viongozi wa M23 wakiwahutubia wananchi wao kuhusiana na ujio wa kikosi cha kijeshi cha Tanzania kushirikiana na kikosi cha UN ili kupambana nao.
Makamanda wa M23 wakiwa kazini.
Watoto nao walikuwepo mkutanoni.
Reymond Chibanda waziri wa mambo ya nche wa DRC na kiongozi wa serikali katika mazungumuzo ya kampala
Francoi Mwamba Mjumbe wa serikali ya DRC katika mazungumzo ya Kampala Uganda.
PICHA NA HABARI NA AUSTERE MALIVIKA-KAMPALA
PICHA NA HABARI NA AUSTERE MALIVIKA-KAMPALA
0 comments:
Chapisha Maoni