Searching...
Jumapili, 19 Mei 2013

!!!!MASIKINIIIIII!!! YULE MTOTO WA MIAKA 4 ALIYECHARANGWA MAPANGA NA BABA YAKE MZAZI AFARIKI DUNIA

 
MTOTO WA MIAKA 4 DEVOTHA GERLAD ALIYEKATWA MAPANGA NA BABA YAKE,HAPA AKIWA HOSPITALI KWA HUDUMA AYA KWANZA SIKU CHACHE ZILIZOPITA KABLA YA KUFARIKI DUNIA USIKU WA KUAMKIA HII LEO.

ASKARI POLISI MSTAAFU SAMSON BWIRE AKIWA AMEFIKISHWA HOSPITALINI MDA MCHACHE BAADA YA KURUKA KUTOKA KWENYE GARI AKIJARIBU KUKIMBIA.

Taarifa zilizo ifikia blog hii Asubuhi hii  zinasema kuwa mtoto aliyekatwa mapanga jana na baba yake amefariki saa 3 usiku jana.

MUNGU AILAZE ROHO YA MAREHEMU MAHALI PEMA PEPONI.

0 comments:

Chapisha Maoni

 
Back to top!