WIZARA YA UCHUKUZI
MAMLAKA YA HALI YA HEWA.
S.L.P.3056, DAR-ES-SALAAM
TELEFAX-2460772.
UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA12
ZIJAZO KUANZIA ASUBUHI YA LEO.
TAREHE 29/05/2013.
|
[Mkoa wa Kagera]:
|
|
Hali ya mawingu kiasi, mvua
na ngurumo katika maeneo machache na vipindi vya jua.
|
|
[Mikoa ya Tanga , Dar es
Salaam na Pwani]:
[Visiwa vya Unguja na Pemba]:
|
|
Hali ya mawingu kiasi, mvua
katika maeneo machache
na vipindi vya jua
|
|
[Mikoa ya Kilimanjaro,
Arusha na Manyara]:
[Maeneo ya miinuko ya Mkoa
wa Mbeya]:
[Mkoa wa Lindi]:
|
|
Hali ya mawingu kiasi, mvua
nyepesi katika maeneo machache
na vipindi vya jua
|
|
[Mikoa ya, Mara, Tabora na
Kigoma ]:
|
|
Hali ya mawingu kiasi, ngurumo
katika maeneo machache na
vipindi vya jua.
|
|
[Mikoa ya Morogoro ,
Iringa, Rukwa na Ruvuma]:
[Mikoa ya Shinyanga na Mtwara]:
[Mikoa ya, Singida, Mwanza na Dodoma]:
|
|
Hali ya mawingu kiasi na
vipindi vya jua.
|
VIWANGO VYA JOTO, MAWIO NA MACHWEO YA JUA KWA BAADHI
YA MIJI HAPA NCHINI:
|
MJI
|
Kiwango
cha juu cha joto
|
Machweo
(Saa)
|
|
ARUSHA
|
23°C
|
12:28
|
|
D'SALAAM
|
31°C
|
12:11
|
|
DODOMA
|
29°C
|
12:26
|
|
KIGOMA
|
29°C
|
12:52
|
|
MBEYA
|
23°C
|
12:31
|
|
MWANZA
|
30°C
|
12:43
|
|
TABORA
|
30°C
|
12:40
|
TANGA |
30°C
|
12:15
|
|
ZANZIBAR
|
29°C
|
12:11
|
|
PEMBA
|
28°C
|
12:04
|
|
MOROGORO
|
30°C
|
12:18
|
Upepo wa Pwani:Unatarajiwa kuvuma kutoka Kusini
Mashariki na kwa kasi ya km 30 kwa saa; kwa Pwani ya Kaskazini na
km 20 kwa saa kwa Pwani ya Kusini.
Hali ya bahari:
Inatarajiwa kuwa na mawimbi Madogo hadi
Makubwa kiasi.
Matazamio kwa
usiku wa leo Jumatano 29/05/2013: Mabadiliko kidogo.
Utabiri huu umetolewa leo
tarehe 29/05/2013.
Na: MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA.
0 comments:
Chapisha Maoni